Noeli ya mwaka huu 2020 inafanana sana na ile ya kipindi cha Yesu, mnazareti, chini ya mfalme wa Roma, Kaisari Augusti. Huyu alikuwa ni zaidi ya mfalme, alilazimisha kuabudiwa na kutolewa sadaka, kafala! Na kila uchao, aliongeza mzigo wa kodi mabegani mwa watu, jambo ambalo lilileta manungúniko makali kati ya…