Noeli ya mwaka huu 2020 inafanana sana na ile ya kipindi cha Yesu, mnazareti, chini ya mfalme wa Roma, Kaisari Augusti. Huyu alikuwa ni zaidi ya mfalme, alilazimisha kuabudiwa na kutolewa sadaka, kafala! Na kila uchao, aliongeza mzigo wa kodi mabegani mwa watu, jambo ambalo lilileta manungúniko makali kati ya wananchi wengi wavuja-jasho. Utawala wake ulikuwa wa maovu na mabavu. Haki na utu vilizimwa na vilizikwa. Povu la hofu lilitamalaki na kutamba kila kona.

Isitoshe, familia ya Yusufu, Yesu na Mariamu kama zilivyokuwa familia nyingi za kiyahudi wakati huo ilikuwa maskini sana. Aidha, Mariamu, mjamzito alikosa nafasi ya kujifungulia hospitalini…

@IsaacGaitano

a reader/philosophy/viajante

Get the Medium app

A button that says 'Download on the App Store', and if clicked it will lead you to the iOS App store
A button that says 'Get it on, Google Play', and if clicked it will lead you to the Google Play store